Job 27:13
“Hili ndilo fungu ambalo Mungu humpa mtu mwovu, 2 urithi ule mtu mdhalimu anapokea kutoka kwa Mwenyezi: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Ninyi nyote mmeona hili wenyewe. 2 Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana? 1
Cross References
Job 15:20Mtu mwovu siku zake zote hupata mateso, 2 miaka yote aliwekewa mkorofi. 1
Job 20:29Hili ndilo fungu Mungu alilowagawia waovu, 2 urithi uliowekwa kwa ajili yao na Mungu.”
Job 31:3Je, si uharibifu kwa watu waovu, 2 maangamizi kwa wale watendao mabaya? 1
Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1
Ecclesiastes 8:13Lakini kwa sababu waovu hawamwogopi Mungu, hawatafanikiwa, maisha yao hayatarefuka kama kivuli.
Malachi 3:5“Basi nitakuja karibu nanyi ili kuhukumu. Nami nitakuwa mwepesi kushuhudia dhidi ya wachawi, wazinzi, waapao kwa uongo, wanaopunja vibarua malipo yao, wanaowaonea wajane na yatima, na wanaowanyima wageni haki, lakini hawaniogopi mimi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Kumwibia Mungu