Ayubu 31:25
kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, 2 ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If I rejoiced because my wealth was great, and because mine hand had gotten much;
In Context
26kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake 2 au mwezi ukienda kwa fahari yake, 1
Cross References
Deuteronomy 8:17Mnaweza kusema, “Uwezo wangu na nguvu za mikono yangu ndizo zilizonipatia utajiri huu.”
Esther 5:11Hamani akajisifia kwao juu ya utajiri wake mwingi, wanawe wengi na kwa njia zote ambazo mfalme amemheshimu kwazo na jinsi alivyomweka juu ya wakuu na maafisa wengine.
Proverbs 23:5Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, 2 huwa kama umepata mabawa ghafula, 2 ukaruka na kutoweka angani kama tai. 1
Isaiah 39:2Hezekia akawapokea wale wajumbe kwa furaha na kuwaonyesha vitu vile vilivyokuwa katika ghala zake: yaani fedha, dhahabu, vikolezo na mafuta safi, ghala la silaha lote, na kila kitu kilichokuwa katika hazina zake. Hapakuwa na kitu chochote katika jumba lake la kifalme au katika ufalme wake wote ambacho Hezekia hakuwaonyesha.
Ezekiel 28:5Kwa werevu wako mwingi katika biashara, 2 umeongeza utajiri wako 1 na kwa sababu ya utajiri wako 2 moyo wako umekuwa na kiburi.
Hosea 12:8Efraimu hujisifu akisema, 2 “Mimi ni tajiri sana; nimetajirika. 1 Pamoja na utajiri wangu wote hawatakuta ndani yangu 2 uovu wowote au dhambi.” 1