Ayubu 32:14
Lakini Ayubu hajayapanga maneno yake dhidi yangu, 2 nami sitamjibu kwa kutumia hoja zenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now he hath not directed his words against me: neither will I answer him with your speeches.
In Context
13Msiseme, ‘Tumepata hekima; 2 Mungu na amthibitishe kuwa mwongo, 2 wala si mwanadamu.’ 1
15“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; 2 maneno yamewaishia. 1
Cross References
Job 33:5Unijibu basi, kama unaweza; 2 jiandae kunikabili mimi. 1