Ayubu 32:15
“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; 2 maneno yamewaishia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They were amazed, they answered no more: they left off speaking.
In Context
14Lakini Ayubu hajayapanga maneno yake dhidi yangu, 2 nami sitamjibu kwa kutumia hoja zenu. 1
16Je, ningoje sasa kwa sababu wamekuwa kimya, 2 kwa vile sasa wanasimama bila kuwa na la kujibu? 1
Cross References
Job 29:22Baada ya mimi kuzungumza, hawakusema zaidi; 2 maneno yangu yaliingia masikioni mwao kwa makini. 1
Matthew 22:22Waliposikia hili, wakashangaa. Hivyo wakamwacha, wakaenda zao. 1 Ndoa Na Ufufuo (Marko 12:18-27; Luka 20:27-40)
Matthew 22:34Mafarisayo waliposikia kwamba Yesu alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, Mafarisayo wakakusanyika pamoja.