The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 33 › Ayubu 33:5

Ayubu 33:5

Unijibu basi, kama unaweza; 2 jiandae kunikabili mimi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If thou canst answer me, set thy words in order before me, stand up.

In Context

4Roho wa Mungu ameniumba; 2 pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai. 1

6Mimi ni kama wewe mbele za Mungu; 2 mimi pia nimetolewa kwenye udongo. 1

Read all of Ayubu 33

Cross References

Job 13:18Sasa kwamba nimekwisha kutayarisha mambo yangu, 2 ninajua mimi nitahesabiwa kuwa na haki. 1

Job 32:1Basi watu hawa watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa kuwa alikuwa mwadilifu machoni pake mwenyewe.

Job 32:14Lakini Ayubu hajayapanga maneno yake dhidi yangu, 2 nami sitamjibu kwa kutumia hoja zenu. 1

Psalms 50:21Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya, 2 ukafikiri Mimi nami ni kama wewe. 1 Lakini nitakukemea 2 na kuweka mashtaka mbele yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 33:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 33:4Ayubu 33Ayubu 33:6 →