Ayubu 32:16
Je, ningoje sasa kwa sababu wamekuwa kimya, 2 kwa vile sasa wanasimama bila kuwa na la kujibu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When I had waited, (for they spake not, but stood still, and answered no more;)
In Context
15“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; 2 maneno yamewaishia. 1
17Mimi nami nitakuwa na la kusema; 2 mimi nami nitasema lile nilijualo. 1
Cross References
Job 13:5Laiti wote mngenyamaza kimya! 2 Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. 1
Amos 5:13Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza kimya nyakati kama hizo, 2 kwa kuwa nyakati ni mbaya. 1