Job 13:5
Laiti wote mngenyamaza kimya! 2 Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Oh that ye would altogether hold your peace! and it should be your wisdom.
In Context
4Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; 2 ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! 1
6Sikieni sasa hoja yangu; 2 sikilizeni kusihi kwangu. 1
Cross References
Job 11:3Je, maneno yako ya upuzi yawafanye watu wanyamaze kimya? 2 Je, mtu asikukemee unapofanya dhihaka? 1
Job 16:3Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? 2 Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno? 1
Job 19:2“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, 2 na kuniponda kwa maneno yenu? 1
Job 32:1Basi watu hawa watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa kuwa alikuwa mwadilifu machoni pake mwenyewe.
Proverbs 17:28Hata mtu mpumbavu hudhaniwa kuwa na hekima kama akinyamaza, 2 na mwenye ufahamu kama akiuzuia ulimi wake.
Amos 5:13Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza kimya nyakati kama hizo, 2 kwa kuwa nyakati ni mbaya. 1