Job 32:22
kwa kuwa kama ningekuwa stadi wa kujipendekeza, 2 Muumba wangu angeniondolea mbali kwa upesi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For I know not to give flattering titles; in so doing my maker would soon take me away.
In Context
21Sitampendelea mtu yeyote, 2 wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; 1
Cross References
Job 17:5Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira, 2 macho ya watoto wake yatashindwa kuona. 1
Psalms 12:2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; 2 midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 1
Proverbs 28:23Yeye amkemeaye mtu mwishoni hupata kibali zaidi, 2 kuliko mwenye maneno ya kusifu isivyostahili. 1
Galatians 1:10Je, sasa mimi ninatafuta kukubaliwa na wanadamu au kukubaliwa na Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa bado najaribu kuwapendeza wanadamu, nisingekuwa mtumishi wa Kristo. 1 Paulo Ameitwa Na Mungu