Proverbs 28:23
Yeye amkemeaye mtu mwishoni hupata kibali zaidi, 2 kuliko mwenye maneno ya kusifu isivyostahili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that rebuketh a man afterwards shall find more favour than he that flattereth with the tongue.
In Context
22Mtu mchoyo ana tamaa ya kupata utajiri, 2 naye hana habari kuwa umaskini unamngojea. 1
24Yeye amwibiaye babaye au mamaye 2 na kusema, “Si kosa,” 2 yeye ni mwenzi wa yule aharibuye. 1
Cross References
2 Samuel 12:7Ndipo Nathani akamwambia Daudi, “Wewe ndiwe huyo mtu! Hivi ndivyo asemavyo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Nilikupaka mafuta uwe mfalme juu ya Israeli, nilikuokoa kutokana na mkono wa Sauli.
1 Kings 1:32Mfalme Daudi akasema, “Mwite kuhani Sadoki ndani, nabii Nathani na Benaya mwana wa Yehoyada.” Walipofika mbele ya mfalme,
Job 32:22kwa kuwa kama ningekuwa stadi wa kujipendekeza, 2 Muumba wangu angeniondolea mbali kwa upesi.
Proverbs 27:5Afadhali karipio la wazi 2 kuliko upendo uliofichika. 1
Matthew 18:15“Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwonyeshe kosa lake, kati yenu ninyi wawili peke yenu. Kama akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako.
2 Peter 3:15Hesabuni uvumilivu wa Bwana kuwa ni wokovu, kama vile ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima ile aliyopewa na Mungu.