The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 32 › Ayubu 32:6

Ayubu 32:6

Basi Elihu mwana wa Barakeli wa kabila la Buzi akasema: 1 “Mimi ni mdogo kwa umri, 2 nanyi ni wazee; 1 ndiyo sababu niliogopa, 2 sikuthubutu kuwaambia kile ninachojua. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Elihu the son of Barachel the Buzite answered and said, I am young, and ye are very old; wherefore I was afraid, and durst not shew you mine opinion.

In Context

5Lakini alipoona watu hao watatu hawakuwa na kitu zaidi cha kusema, hasira yake ikaamka.

7Nilifikiri, ‘Yafaa umri useme, 2 nao wingi wa miaka ungefundisha hekima.’ 1

Read all of Ayubu 32

Cross References

Leviticus 19:32“ ‘Uwapo mbele ya mzee, simama ili kuonyesha heshima kwa wazee, nawe umche Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.

Job 12:12Je, hekima haipatikani katikati ya wazee? 2 Je, maisha marefu hayaleti ufahamu? 1

Job 15:10Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu, 2 watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako. 1

Job 35:1Ndipo Elihu akasema: 1

Romans 13:7Mlipeni kila mtu kile mnachodaiwa. Kama mnadaiwa kodi lipeni kodi, kama ni ushuru, lipeni ushuru, astahiliye hofu, mhofu, astahiliye heshima, mheshimu. 1 Kupendana Kila Mmoja Na Mwingine

Titus 2:6Vivyo hivyo, himiza vijana wawe na kiasi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 32:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 32:5Ayubu 32Ayubu 32:7 →