The Bible Software
bible.softwareJobJob 32 › Job 32:7

Job 32:7

Nilifikiri, ‘Yafaa umri useme, 2 nao wingi wa miaka ungefundisha hekima.’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I said, Days should speak, and multitude of years should teach wisdom.

In Context

6Basi Elihu mwana wa Barakeli wa kabila la Buzi akasema: 1 “Mimi ni mdogo kwa umri, 2 nanyi ni wazee; 1 ndiyo sababu niliogopa, 2 sikuthubutu kuwaambia kile ninachojua. 1

8Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu, 2 pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 1

Read all of Job 32

Cross References

1 Kings 12:6Kisha Mfalme Rehoboamu akataka shauri kwa wazee ambao walimtumikia Solomoni baba yake wakati wa uhai wake akawauliza, “Mnanishauri nini katika kuwajibu watu hawa?”

Job 8:10Je, hawatakufundisha na kukueleza? 2 Je, hawataleta maneno kutoka kwenye kufahamu kwao? 1

Psalms 34:11Njooni, watoto wangu, mnisikilize, 2 nitawafundisha kumcha Bwana. 1

Proverbs 16:31Mvi ni taji ya utukufu; 2 hupatikana kwa maisha ya uadilifu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 32:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 32:6Job 32Job 32:8 →