Ayubu 33:1
“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu; 2 zingatia kila kitu nitakachosema. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore, Job, I pray thee, hear my speeches, and hearken to all my words.
In Context
2Karibu nitafungua kinywa changu; 2 maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu. 1
Cross References
Job 13:6Sikieni sasa hoja yangu; 2 sikilizeni kusihi kwangu. 1
Job 34:2“Sikieni maneno yangu, enyi watu wenye hekima; 2 nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye maarifa. 1
Mark 4:9Kisha Yesu akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” 1 Sababu Za Mifano (Mathayo 13:10-17; Luka 8:9-10)