Job 33:2
Karibu nitafungua kinywa changu; 2 maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, now I have opened my mouth, my tongue hath spoken in my mouth.
In Context
1“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu; 2 zingatia kila kitu nitakachosema. 1
3Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; 2 midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. 1
Cross References
Job 31:30lakini sikuruhusu kinywa changu kufanya dhambi 2 kwa kuomba laana dhidi ya maisha yake; 1
Matthew 5:2Ndipo akaanza kuwafundisha, akisema: 1