Mark 4:9
Kisha Yesu akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” 1 Sababu Za Mifano (Mathayo 13:10-17; Luka 8:9-10)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto them, He that hath ears to hear, let him hear.
In Context
Cross References
Matthew 11:15Yeye aliye na masikio, na asikie.
Matthew 15:10Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:
Mark 4:23Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Mark 7:16Kama mtu yeyote ana masikio ya kusikia na asikie.]”
Revelation 3:6Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. 1 Kwa Kanisa Lililoko Filadelfia
Revelation 3:22Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa.”