The Bible Software
bible.softwareJobJob 33 › Job 33:3

Job 33:3

Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; 2 midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My words shall be of the uprightness of my heart: and my lips shall utter knowledge clearly.

In Context

2Karibu nitafungua kinywa changu; 2 maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu. 1

4Roho wa Mungu ameniumba; 2 pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai. 1

Read all of Job 33

Cross References

Job 15:2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, 2 au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 1

Job 32:21Sitampendelea mtu yeyote, 2 wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; 1

Job 36:3Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, 2 nami nitamhesabia haki Muumba wangu. 1

Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1

Proverbs 8:7Kinywa changu husema lililo kweli, 2 kwa maana midomo yangu huchukia uovu. 1

Proverbs 15:7Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa, 2 bali sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 33:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 33:2Job 33Job 33:4 →