Job 18:2
“Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? 2 Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
How long will it be ere ye make an end of words? mark, and afterwards we will speak.
In Context
3Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, 2 na kuonekana wajinga machoni pako? 1
Cross References
Job 3:5Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; 2 wingu na likae juu yake; 2 weusi na uifunike nuru yake. 1
Job 8:2“Hata lini wewe utasema mambo kama haya? 2 Maneno yako ni kama upepo mkuu. 1
Job 13:5Laiti wote mngenyamaza kimya! 2 Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. 1
Job 21:2“Yasikilizeni maneno yangu kwa makini; 2 hii na iwe faraja mnayonipa mimi. 1
Proverbs 18:13Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, 2 huo ni upumbavu wake na aibu yake. 1