Ayubu 34:16
“Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili; 2 sikilizeni hili nisemalo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If now thou hast understanding, hear this: hearken to the voice of my words.
In Context
15wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja, 2 na mtu angerudi mavumbini. 1
17Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? 2 Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote? 1
Cross References
Job 13:2Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua; 2 mimi si mtu duni kuliko ninyi. 1