Ayubu 34:17
Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? 2 Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Shall even he that hateth right govern? and wilt thou condemn him that is most just?
In Context
16“Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili; 2 sikilizeni hili nisemalo. 1
18Je, si ni yeye awaambiaye wafalme, ‘Ninyi hamfai kitu,’ 2 nao watu mashuhuri, ‘Ninyi ni waovu,’ 1
Cross References
2 Samuel 19:21Ndipo Abishai mwana wa Seruya akasema, “Je, Shimei hapaswi kuuawa kwa ajili ya hili? Alimlaani mpakwa mafuta wa Bwana.”
Job 1:22Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.
Romans 3:5Ikiwa uovu wetu unathibitisha haki ya Mungu waziwazi, tuseme nini basi? Je, Mungu kuileta ghadhabu yake juu yetu ni kwamba yeye si mwenye haki? (Nanena kibinadamu.)