The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 34 › Ayubu 34:18

Ayubu 34:18

Je, si ni yeye awaambiaye wafalme, ‘Ninyi hamfai kitu,’ 2 nao watu mashuhuri, ‘Ninyi ni waovu,’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is it fit to say to a king, Thou art wicked? and to princes, Ye are ungodly?

In Context

17Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? 2 Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote? 1

19yeye asiyependelea wakuu, 2 wala haonyeshi upendeleo kwa matajiri kuliko maskini, 2 kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake? 1

Read all of Ayubu 34

Cross References

Exodus 22:28“Usimkufuru Mungu au kumlaani mtawala wa watu wako.

Acts 23:3Ndipo Paulo akamwambia, “Mungu atakupiga wewe, ewe ukuta uliopakwa chokaa! Wewe umeketi hapo ili kunihukumu kwa mujibu wa sheria, lakini wewe mwenyewe unakiuka sheria kwa kuamuru kwamba nipigwe kinyume cha sheria!”

Romans 13:7Mlipeni kila mtu kile mnachodaiwa. Kama mnadaiwa kodi lipeni kodi, kama ni ushuru, lipeni ushuru, astahiliye hofu, mhofu, astahiliye heshima, mheshimu. 1 Kupendana Kila Mmoja Na Mwingine

2 Peter 2:10Hii ni hakika hasa kwa wale wanaofuata tamaa mbaya za mwili na kudharau mamlaka. Kwa ushupavu na kwa kiburi, watu hawa hawaogopi kunena mabaya dhidi ya viumbe vya mbinguni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 34:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 34:17Ayubu 34Ayubu 34:19 →