The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 34 › Ayubu 34:19

Ayubu 34:19

yeye asiyependelea wakuu, 2 wala haonyeshi upendeleo kwa matajiri kuliko maskini, 2 kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How much less to him that accepteth not the persons of princes, nor regardeth the rich more than the poor? for they all are the work of his hands.

In Context

18Je, si ni yeye awaambiaye wafalme, ‘Ninyi hamfai kitu,’ 2 nao watu mashuhuri, ‘Ninyi ni waovu,’ 1

20Wanakufa ghafula, usiku wa manane; 2 watu wanatikiswa nao hupita; 1 wenye nguvu huondolewa 2 bila mkono wa mwanadamu. 1

Read all of Ayubu 34

Cross References

Exodus 30:15Matajiri hawatalipa zaidi ya nusu shekeli, nao maskini hawatatoa pungufu wakati mnatoa sadaka kwa Bwana kwa kufanya upatanisho wa nafsi zenu.

Deuteronomy 10:17Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa.

Job 10:3Je, inakupendeza wewe kunionea, 2 kuikataa kwa dharau kazi ya mikono yako, 2 huku wewe ukitabasamu juu ya mipango ya waovu? 1

Job 12:21Huwamwagia dharau wanaoheshimika, 2 na kuwavua silaha wenye nguvu. 1

Job 31:15Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu, 2 si ndiye aliwaumba? 1 Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote 2 ndani ya mama zetu? 1

Psalms 2:2Wafalme wa dunia wanajipanga 2 na watawala wanajikusanya pamoja 1 dhidi ya Bwana 2 na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 34:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 34:18Ayubu 34Ayubu 34:20 →