Ayubu 34:25
Kwa sababu huyaangalia matendo yao yote, 2 huwaondoa usiku, nao wakaangamia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore he knoweth their works, and he overturneth them in the night, so that they are destroyed.
In Context
24Bila kuuliza huwapondaponda wenye nguvu nyingi 2 na kuwaweka wengine mahali pao. 1
26Anawaadhibu kwa ajili ya uovu wao 2 mahali ambapo kila mmoja ataweza kuwaona, 1
Cross References
Psalms 33:15yeye ambaye huumba mioyo yao wote, 2 ambaye huangalia kila kitu wanachokitenda. 1
Isaiah 15:1Neno kuhusu Moabu: 1 Ari iliyo Moabu imeangamizwa: 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1 Kiri iliyo Moabu imeangamizwa, 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1
Hosea 7:2lakini hawafahamu kwamba 2 ninakumbuka matendo yao yote mabaya. 1 Dhambi zao zimewameza, 2 ziko mbele zangu siku zote. 1
1 Thessalonians 5:2kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.