The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 34 › Ayubu 34:24

Ayubu 34:24

Bila kuuliza huwapondaponda wenye nguvu nyingi 2 na kuwaweka wengine mahali pao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall break in pieces mighty men without number, and set others in their stead.

In Context

23Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, 2 ili apate kuja mbele zake kwa hukumu. 1

25Kwa sababu huyaangalia matendo yao yote, 2 huwaondoa usiku, nao wakaangamia. 1

Read all of Ayubu 34

Cross References

1 Samuel 15:28Samweli akamwambia, “ Bwana ameurarua ufalme wa Israeli kutoka kwako leo, naye ameutia kwa mmoja wa majirani zako, aliye bora kuliko wewe.

1 Kings 14:14“ Bwana atajiinulia mwenyewe mfalme juu ya Israeli ambaye ataikatilia mbali jamaa ya Yeroboamu. Siku ndiyo hii! Nini? Naam, hata sasa hivi.

Job 19:2“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, 2 na kuniponda kwa maneno yenu? 1

Psalms 72:4Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu 2 na atawaokoa watoto wa wahitaji, 2 ataponda mdhalimu. 1

Psalms 113:7Huwainua maskini kutoka mavumbini, 2 na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 1

Daniel 2:21Yeye hubadili nyakati na majira; 2 huwaweka wafalme na kuwaondoa. 1 Huwapa hekima wenye hekima, 2 na maarifa wenye ufahamu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 34:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 34:23Ayubu 34Ayubu 34:25 →