Isaya 15:1
Neno kuhusu Moabu: 1 Ari iliyo Moabu imeangamizwa: 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1 Kiri iliyo Moabu imeangamizwa, 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 21:28“Moto uliwaka kutoka Heshboni, 2 mwali wa moto kutoka mji wa Sihoni. 1 Uliteketeza Ari ya Moabu, 2 raiya wa mahali pa Arnoni palipoinuka. 1
Deuteronomy 2:18“Leo utapita katika nchi ya Moabu huko Ari.
2 Kings 3:25Wakaiharibu miji, kila mtu akatupa jiwe juu ya kila shamba zuri mpaka likafunikwa. Wakaziba chemchemi zote na kukata kila mti mzuri. Kir-Haresethi peke yake ndio uliobaki na mawe yake yakiwa mahali pake. Lakini hata hivyo watu waliokuwa na makombeo wakauzunguka na kuushambulia vilevile.
Isaiah 13:1Neno kuhusu Babeli ambalo Isaya mwana wa Amozi aliliona: 1
Isaiah 16:6Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu: 2 kiburi chake cha kujivuna na udanganyifu, 1 kiburi chake na ufidhuli wake, 2 lakini majivuno yake si kitu. 1
Isaiah 16:11Moyo wangu unaomboleza kwa ajili ya Moabu kama kinubi, 2 nafsi yangu yote kwa ajili ya Kir-Haresethi. 1