The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 34 › Ayubu 34:36

Ayubu 34:36

Laiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho, 2 kwa sababu anajibu kama mtu mwovu! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My desire is that Job may be tried unto the end because of his answers for wicked men.

In Context

35‘Ayubu huongea bila maarifa; 2 maneno yake hayana busara.’ 1

37Kwenye dhambi yake huongeza uasi; 2 kwa dharau hupiga makofi miongoni mwetu, 2 na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”

Read all of Ayubu 34

Cross References

Job 21:7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, 2 wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 1

Job 23:16Mungu ameufanya moyo wangu kuzimia; 2 yeye Mwenyezi amenitia hofu. 1

Job 34:8Ashirikianaye na watenda mabaya 2 na kuchangamana na watu waovu. 1

Psalms 26:2Ee Bwana, unijaribu, unipime, 2 uuchunguze moyo wangu 2 na mawazo yangu; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 34:36

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 34:35Ayubu 34Ayubu 34:37 →