Ayubu 34:8
Ashirikianaye na watenda mabaya 2 na kuchangamana na watu waovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Which goeth in company with the workers of iniquity, and walketh with wicked men.
In Context
7Ni mtu gani aliye kama Ayubu, 2 anywaye dharau kama maji? 1
9Kwa kuwa anasema, ‘Haimfaidi mwanadamu kitu chochote 2 anapojitahidi kumpendeza Mungu.’ 1
Cross References
Job 11:3Je, maneno yako ya upuzi yawafanye watu wanyamaze kimya? 2 Je, mtu asikukemee unapofanya dhihaka? 1
Job 22:15Je, utaifuata njia ya zamani, 2 ambayo watu waovu waliikanyaga? 1
Psalms 26:4Siketi pamoja na watu wadanganyifu, 2 wala siandamani na wanafiki, 1
Psalms 73:12Hivi ndivyo walivyo waovu: 2 siku zote hawajali, 2 wanaongezeka katika utajiri. 1
Proverbs 2:12Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, 2 kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka, 1
Proverbs 13:20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1