Ayubu 35:14
Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza 2 wewe usemapo humwoni, 1 tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake 2 na wewe lazima umngojee, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili; 2 Mwenyezi hayazingatii. 1
15pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu 2 wala haangalii uovu hata kidogo? 1
Cross References
Job 9:11Anapopita karibu nami, siwezi kumwona; 2 apitapo mbele yangu, simtambui. 1
Job 19:7“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; 2 ingawa ninaomba msaada, hakuna haki. 1
Job 23:8“Lakini nikienda mashariki, hayupo; 2 nikienda magharibi, simpati. 1
Psalms 37:5Mkabidhi Bwana njia yako, 2 mtumaini yeye, naye atatenda hili: 1
Psalms 62:5Ee nafsi yangu, upumzike, kwa Mungu peke yake, 2 tumaini langu latoka kwake. 1
Psalms 77:5Nilitafakari juu ya siku zilizopita, 2 miaka mingi iliyopita, 1