Ayubu 35:3
Bado unamuuliza, ‘Ni faida gani nimepata, 2 na imenifaidi nini kwa kutokutenda dhambi?’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Je, unadhani hili ni haki? 2 Wewe unasema, ‘Nina haki mbele za Mungu.’ 1
4“Ningependa nikujibu wewe 2 pamoja na marafiki zako walio pamoja nawe. 1
Cross References
Job 9:21“Ingawa mimi sina kosa, 2 haileti tofauti katika nafsi yangu; 2 nauchukia uhai wangu. 1
Job 10:15Kama nina hatia, ole wangu! 2 Hata kama ningekuwa sina hatia, 2 siwezi kukiinua kichwa changu, 1 kwa kuwa nimejawa na aibu, 2 na kuzama katika mateso yangu. 1
Job 31:2Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu, 1 urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu? 1
Psalms 73:13Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, 2 ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia. 1