Job 35:4
“Ningependa nikujibu wewe 2 pamoja na marafiki zako walio pamoja nawe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will answer thee, and thy companions with thee.
In Context
3Bado unamuuliza, ‘Ni faida gani nimepata, 2 na imenifaidi nini kwa kutokutenda dhambi?’ 1
5Tazama juu mbinguni ukaone; 2 yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako. 1
Cross References
Job 34:8Ashirikianaye na watenda mabaya 2 na kuchangamana na watu waovu. 1