Ayubu 35:6
Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu? 2 Kama dhambi zako zikiwa nyingi, 2 hilo linamfanyia nini Mungu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Tazama juu mbinguni ukaone; 2 yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako. 1
7Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, 2 au yeye anapokea nini mkononi kwako? 1
Cross References
Job 7:20Ikiwa nimetenda dhambi, nimekufanyia nini, 2 Ewe mlinzi wa wanadamu? 1 Kwa nini umeniweka niwe shabaha yako? 2 Je, nimekuwa mzigo kwako? 1
Proverbs 9:12Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo; 2 kama wewe ni mtu wa mzaha, 2 wewe mwenyewe ndiwe utateseka.” 1