Proverbs 9:12
Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo; 2 kama wewe ni mtu wa mzaha, 2 wewe mwenyewe ndiwe utateseka.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If thou be wise, thou shalt be wise for thyself: but if thou scornest, thou alone shalt bear it.
In Context
11Kwa maana kwa msaada wangu 2 siku zako zitakuwa nyingi, 2 na miaka itaongezwa katika maisha yako. 1
13Mwanamke aitwaye Mpumbavu ana kelele; 2 hana adabu na hana maarifa. 1
Cross References
Job 19:4Kama ni kweli nimepotoka, 2 kosa langu ninabaki kuhusika nalo mwenyewe. 1
Job 22:3Je, Mwenyezi angefurahia nini 2 kama ungekuwa mwadilifu? 1 Au je, yeye angepata faida gani 2 kama njia zako zingekuwa kamilifu? 1
Job 35:6Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu? 2 Kama dhambi zako zikiwa nyingi, 2 hilo linamfanyia nini Mungu? 1
Isaiah 28:22Sasa acheni dharau zenu, 2 la sivyo minyororo yenu itakuwa mizito zaidi. 1 Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, ameniambia 2 habari za maangamizi yaliyoamriwa dhidi ya nchi yote. 1
Zechariah 12:14na koo zote zilizobaki na wake zao.
2 Peter 3:16Huandika vivyo hivyo katika nyaraka zake zote, akizungumzia ndani yake mambo haya. Katika nyaraka zake kuna mambo mengine ambayo ni vigumu kuyaelewa, ambayo watu wajinga na wasio thabiti huyapotosha kwa maangamizi yao wenyewe, kama wapotoshavyo pia Maandiko mengine.