Ayubu 36:17
Lakini sasa umelemewa na hukumu kwa ajili ya uovu; 2 hukumu na haki vimekukamata. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But thou hast fulfilled the judgment of the wicked: judgment and justice take hold on thee.
In Context
18Uwe mwangalifu ili yeyote asikushawishi kwa utajiri; 2 usipotoshwe kwa fungu kubwa la rushwa. 1
Cross References
Job 16:5Lakini kinywa changu kingewatia moyo; 2 faraja kutoka midomoni mwangu, ingewaletea nafuu. 1
Job 34:7Ni mtu gani aliye kama Ayubu, 2 anywaye dharau kama maji? 1
Job 34:36Laiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho, 2 kwa sababu anajibu kama mtu mwovu! 1
Romans 1:32Ingawa wanafahamu sheria ya haki ya Mungu kwamba watu wanaofanya mambo kama hayo wanastahili mauti, si kwamba wanaendelea kutenda hayo tu, bali pia wanakubaliana na wale wanaoyatenda.