Ayubu 16:5
Lakini kinywa changu kingewatia moyo; 2 faraja kutoka midomoni mwangu, ingewaletea nafuu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I would strengthen you with my mouth, and the moving of my lips should asswage your grief.
In Context
6“Lakini kama nikisema, maumivu yangu bado hayatulizwi; 2 nami kama nikijizuia, wala hayaondoki. 1
Cross References
Job 6:14“Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, 2 hata kama akiacha uchaji wa Mwenyezi. 1
Job 29:25Niliwachagulia njia na kukaa kama mkuu wao; 2 niliishi kama mfalme katikati ya majeshi yake; 2 nikawa kama yeye anayewafariji waombolezaji.
Proverbs 27:9Manukato na uvumba huleta furaha moyoni, 2 nao uzuri wa rafiki huchipuka 2 kutoka kwenye ushauri wake wa uaminifu. 1
Isaiah 35:3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, 2 yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 1