Ayubu 36:19
Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi 2 vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Will he esteem thy riches? no, not gold, nor all the forces of strength.
In Context
18Uwe mwangalifu ili yeyote asikushawishi kwa utajiri; 2 usipotoshwe kwa fungu kubwa la rushwa. 1
20Usiutamani usiku uje, 2 ili uwaburute watu mbali na nyumba zao. 1
Cross References
Job 9:13Mungu hataizuia hasira yake; 2 hata jeshi kubwa la Rahabu + 9:13 Rahabu hapa ina maana ya Misri kwa fumbo. lenye nguvu 2 linajikunyata miguuni pake. 1
Psalms 33:16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; 2 hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 1
Proverbs 11:4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, 2 bali haki huokoa kutoka mautini. 1
Isaiah 2:20Siku ile, watu watawatupia 2 panya na popo 1 sanamu zao za fedha na za dhahabu, 2 walizozitengeneza ili waziabudu. 1
Zephaniah 1:18Fedha yao wala dhahabu yao 2 hazitaweza kuwaokoa 2 katika siku hiyo ya ghadhabu ya Bwana. 1 Katika moto wa wivu wake 2 dunia yote itateketezwa, 1 kwa maana ataleta mwisho 2 wa wote wanaoishi katika dunia ghafula.”