Ayubu 36:20
Usiutamani usiku uje, 2 ili uwaburute watu mbali na nyumba zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Desire not the night, when people are cut off in their place.
In Context
19Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi 2 vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki? 1
21Jihadhari usigeukie uovu, 2 ambao unaupenda zaidi kuliko mateso. 1
Cross References
Exodus 12:29Ilipofika usiku wa manane, Bwana akawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika Misri, kuanzia mzaliwa wa kwanza wa Farao, mrithi wa kiti cha ufalme, hadi mzaliwa wa kwanza wa mfungwa, aliyekuwa gerezani, na wazaliwa wa kwanza wa mifugo yote pia.
Job 3:20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, 2 na hao wenye uchungu kupewa uhai, 1
Job 7:15hivyo ninachagua kujinyonga na kufa, 2 kuliko huu mwili wangu. 1
Job 17:13Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi, + 17:13 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 kama nikikitandika kitanda changu gizani, 1
Job 34:25Kwa sababu huyaangalia matendo yao yote, 2 huwaondoa usiku, nao wakaangamia. 1
Ecclesiastes 11:3Kama mawingu yamejaa maji, 2 hunyesha mvua juu ya nchi. 1 Kama mti ukianguka kuelekea kusini 2 au kuelekea kaskazini, 1 mahali ulipoangukia, 2 hapo ndipo utakapolala. 1