Ayubu 36:24
Kumbuka kuzitukuza kazi zake, 2 ambazo watu wamezisifu katika wimbo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Remember that thou magnify his work, which men behold.
In Context
23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, 2 au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 1
25Wanadamu wote wameiona; 2 watu wanaikazia macho kwa mbali. 1
Cross References
Deuteronomy 4:19Na utazamapo juu angani na ukaliona jua, mwezi na nyota na vyote vinavyoipamba mbingu, usije ukashawishiwa kuviinamia na kuviabudu vile ambavyo Bwana Mungu wenu alivyogawia mataifa yote chini ya mbingu.
Job 26:5“Wafu wako katika maumivu makuu, 2 wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake. 1
Psalms 28:5Kwa kuwa hawaheshimu kazi za Bwana, 2 na yale ambayo mikono yake imetenda, 1 atawabomoa na kamwe 2 hatawajenga tena. 1
Psalms 59:16Lakini mimi nitaziimba nguvu zako, 2 asubuhi nitaimba juu ya upendo wako; 1 kwa maana wewe ndiwe ngome yangu 2 na kimbilio langu wakati wa shida. 1
Psalms 86:8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, 2 hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 1
Psalms 104:24Ee Bwana, jinsi matendo yako yalivyo mengi! 2 Kwa hekima ulizifanya zote, 2 dunia imejaa viumbe vyako. 1