Ayubu 36:25
Wanadamu wote wameiona; 2 watu wanaikazia macho kwa mbali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Every man may see it; man may behold it afar off.
In Context
24Kumbuka kuzitukuza kazi zake, 2 ambazo watu wamezisifu katika wimbo. 1
26Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, 2 kupita ufahamu wetu! 2 Hesabu ya miaka yake haitafutiki. 1