Ayubu 36:23
Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, 2 au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who hath enjoined him his way? or who can say, Thou hast wrought iniquity?
In Context
22“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake. 2 Ni nani aliye mwalimu kama yeye? 1
24Kumbuka kuzitukuza kazi zake, 2 ambazo watu wamezisifu katika wimbo. 1
Cross References
Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
Job 34:10“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu. 2 Kamwe Mungu hatendi uovu, 2 Mwenyezi hafanyi kosa. 1
Job 34:13Je, ni nani aliyemtawaza juu ya dunia? 2 Ni nani aliyemweka kuwa mwangalizi wa ulimwengu wote? 1
Isaiah 40:13Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana, 2 au kumfundisha akiwa kama mshauri wake? 1
Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.
Romans 9:14Tuseme nini basi? Je, Mungu ni dhalimu? La, hasha!