Ayubu 36:26
Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, 2 kupita ufahamu wetu! 2 Hesabu ya miaka yake haitafutiki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, God is great, and we know him not, neither can the number of his years be searched out.
In Context
25Wanadamu wote wameiona; 2 watu wanaikazia macho kwa mbali. 1
27“Yeye huvuta juu matone ya maji, 2 ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 1
Cross References
1 Kings 8:27“Lakini kweli, je, Mungu atafanya makao duniani? Mbingu, hata mbingu zilizo juu sana, haziwezi kukutosha wewe. Sembuse Hekalu hili nililojenga!
Job 11:7“Je, waweza kujua siri za Mungu? 2 Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 1
Job 37:5Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu; 2 yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu. 1
Psalms 90:2Kabla ya kuzaliwa milima 2 au hujaumba dunia na ulimwengu, 2 wewe ni Mungu tangu milele hata milele. 1
Psalms 145:3Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, 2 ukuu wake haupimiki. 1
Hebrews 1:12Utazikungʼutakungʼuta kama joho, 2 nazo zitachakaa kama vazi. 1 Lakini wewe hubadiliki, 2 nayo miaka yako haikomi kamwe.”