Ayubu 37:11
Huyasheheneza mawingu kwa maji, 2 naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Also by watering he wearieth the thick cloud: he scattereth his bright cloud:
In Context
10Pumzi ya Mungu hutoa barafu, 2 eneo kubwa la maji huganda. 1
Cross References
Job 26:8Huyafungia maji kwenye mawingu yake, 2 hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. 1
Job 36:32Huujaza mkono wake kwa umeme wa radi, 2 na kuuagiza kulenga shabaha yake. 1
Matthew 17:5Petro alipokuwa angali ananena, ghafula wingu lililongʼaa likawafunika, na sauti ikatoka kwenye hilo wingu ikisema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa. Ninapendezwa naye sana. Msikieni yeye.”