Ayubu 37:10
Pumzi ya Mungu hutoa barafu, 2 eneo kubwa la maji huganda. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
By the breath of God frost is given: and the breadth of the waters is straitened.
In Context
9Dhoruba hutoka katika chumba chake, 2 baridi hutoka katika upepo uendao kasi. 1
11Huyasheheneza mawingu kwa maji, 2 naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo. 1
Cross References
Job 38:29Barafu inatoka tumbo la nani? 2 Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni, 1
Psalms 78:47Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe 2 na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji. 1
Psalms 147:17Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. 2 Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake? 1