Job 37:13
Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu, 2 au kuinyeshea dunia yake na kuonyesha upendo wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He causeth it to come, whether for correction, or for his land, or for mercy.
In Context
14“Ayubu, sikiliza hili; 2 nyamaza na uyafikiri maajabu ya Mungu. 1
Cross References
1 Samuel 12:18Kisha Samweli akamwomba Bwana, na siku ile ile Bwana akatuma ngurumo na mvua. Hivyo watu wote wakamwogopa sana Bwana na Samweli.
2 Samuel 21:14Wakazika mifupa ya Sauli na ya mwanawe Yonathani katika kaburi la Kishi, babaye Sauli, huko Sela katika nchi ya Benyamini, nao wakafanya kila kitu mfalme alichoagiza. Baada ya hayo, Mungu akajibu maombi kwa ajili ya nchi. 1 Vita Dhidi Ya Wafilisti (1 Nyakati 20:4-8)
Ezra 10:9Katika muda wa siku tatu, watu wote wa Yuda na Benyamini wakawa wamekusanyika huko Yerusalemu. Kwenye siku ya ishirini ya mwezi wa tisa, watu wote walikuwa wameketi ndani ya uwanja mbele ya nyumba ya Mungu, wakiwa na majonzi mno kwa tukio hilo na kwa sababu ya mvua kubwa.
Job 37:6Huiambia theluji, ‘Anguka juu ya dunia,’ 2 nayo manyunyu ya mvua, ‘Uwe mvua ya nguvu.’ 1
Job 38:27ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, 2 na majani yaanze kumea ndani yake? 1
Psalms 65:10Umeilowesha mifereji yake 2 na kusawazisha kingo zake; 1 umeilainisha kwa manyunyu 2 na kuibariki mimea yake. 1