Ayubu 37:14
“Ayubu, sikiliza hili; 2 nyamaza na uyafikiri maajabu ya Mungu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hearken unto this, O Job: stand still, and consider the wondrous works of God.
In Context
13Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu, 2 au kuinyeshea dunia yake na kuonyesha upendo wake. 1
15Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, 2 na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga? 1
Cross References
Exodus 14:13Mose akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu Bwana atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena.
Job 36:24Kumbuka kuzitukuza kazi zake, 2 ambazo watu wamezisifu katika wimbo. 1
Psalms 111:2Kazi za Bwana ni kuu, 2 wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. 1
Psalms 145:10Ee Bwana, vyote ulivyovifanya vitakusifu, 2 watakatifu wako watakutukuza. 1
Habakkuk 2:20Lakini Bwana yuko katika Hekalu lake takatifu; 2 dunia yote na inyamaze mbele yake.”