Job 37:21
Basi hakuna awezaye kulitazama jua, 2 jinsi linavyongʼaa angani, 2 upepo ukishafagia mawingu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? 2 Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa? 1
22Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; 2 Mungu huja katika utukufu wa kutisha. 1
Cross References
Job 36:32Huujaza mkono wake kwa umeme wa radi, 2 na kuuagiza kulenga shabaha yake. 1