Ayubu 37:20
Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? 2 Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Shall it be told him that I speak? if a man speak, surely he shall be swallowed up.
In Context
19“Tuambieni yatupasayo kumwambia; 2 hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu. 1
21Basi hakuna awezaye kulitazama jua, 2 jinsi linavyongʼaa angani, 2 upepo ukishafagia mawingu. 1
Cross References
Job 6:3Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, 2 kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. 1
Psalms 139:4Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, 2 wewe walijua kikamilifu, Ee Bwana. 1
Matthew 12:36Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena.