Ayubu 37:22
Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; 2 Mungu huja katika utukufu wa kutisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Fair weather cometh out of the north: with God is terrible majesty.
In Context
21Basi hakuna awezaye kulitazama jua, 2 jinsi linavyongʼaa angani, 2 upepo ukishafagia mawingu. 1
Cross References
1 Chronicles 29:11Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Bwana, 2 na utukufu na enzi na uzuri, 1 kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani 2 ni chako wewe. 1 Ee Bwana, ufalme ni wako; 2 umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote. 1
Psalms 29:4Sauti ya Bwana ina nguvu; 2 sauti ya Bwana ni tukufu. 1
Psalms 68:7Ee Mungu, ulipowatangulia watu wako, 2 ulipopita nyikani, 1
Psalms 76:12Huvunja roho za watawala; 2 anaogopwa na wafalme wa dunia.
Psalms 93:1Bwana anatawala, amejivika utukufu; 2 Bwana amejivika utukufu 2 tena amejivika nguvu. 1 Dunia imewekwa imara, 2 haitaondoshwa. 1
Psalms 145:5Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, 2 nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu. 1