Ayubu 37:9
Dhoruba hutoka katika chumba chake, 2 baridi hutoka katika upepo uendao kasi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Out of the south cometh the whirlwind: and cold out of the north.
In Context
8Wanyama hujificha; 2 hubakia kwenye mapango yao. 1
10Pumzi ya Mungu hutoa barafu, 2 eneo kubwa la maji huganda. 1
Cross References
Job 38:1Kisha Bwana akamjibu Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli. Akasema: 1
Psalms 147:17Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. 2 Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake? 1
Isaiah 21:1Neno kuhusu Jangwa kando ya Bahari: 2 Kama upepo wa kisulisuli unaopita katika nchi hadi kusini, 2 mshambuliaji anakuja kutoka jangwani, 2 kutoka nchi inayotisha. 1