Isaiah 21:1
Neno kuhusu Jangwa kando ya Bahari: 2 Kama upepo wa kisulisuli unaopita katika nchi hadi kusini, 2 mshambuliaji anakuja kutoka jangwani, 2 kutoka nchi inayotisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 37:9Dhoruba hutoka katika chumba chake, 2 baridi hutoka katika upepo uendao kasi. 1
Isaiah 13:4Sikilizeni kelele juu ya milima, 2 kama ile ya umati mkubwa wa watu! 1 Sikilizeni, makelele katikati ya falme, 2 kama mataifa yanayokusanyika pamoja! 1 Bwana Mwenye Nguvu Zote anakusanya 2 jeshi kwa ajili ya vita. 1
Isaiah 13:17Tazama, nitawachochea Wamedi dhidi yao, 2 ambao hawajali fedha 2 wala hawafurahii dhahabu. 1
Isaiah 14:1Bwana atamhurumia Yakobo, 2 atamchagua Israeli tena, 2 na kuwakalisha katika nchi yao wenyewe. 1 Wageni wataungana nao 2 na kujiunga na nyumba ya Yakobo. 1
Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru
Isaiah 47:1“Shuka uketi mavumbini, 2 ee Bikira Binti Babeli; 1 keti chini pasipo na kiti cha enzi, 2 ee binti wa Wakaldayo. 1 Hutaitwa tena mwororo wala wa kupendeza. 1