The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 38 › Ayubu 38:12

Ayubu 38:12

“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, 2 au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hast thou commanded the morning since thy days; and caused the dayspring to know his place;

In Context

11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; 2 hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’? 1

13yapate kushika miisho ya dunia, 2 na kuwakungʼuta waovu waliomo? 1

Read all of Ayubu 38

Cross References

Job 8:9kwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote, 2 nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu. 1

Job 24:16Katika giza, huvunja majumba, 2 lakini wakati wa mchana hujifungia ndani; 2 hawataki kufanya lolote nuruni. 1

Job 38:21Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa! 2 Kwani umeishi miaka mingi! 1

Psalms 136:7Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele. 1

Luke 1:78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, 2 nuru itokayo juu itatuzukia 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 38:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 38:11Ayubu 38Ayubu 38:13 →