Job 38:21
Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa! 2 Kwani umeishi miaka mingi! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Knowest thou it, because thou wast then born? or because the number of thy days is great?
In Context
20Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? 2 Unajua njia za kufika maskani mwake? 1
22“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji, 2 au kuona ghala za mvua ya mawe, 1
Cross References
Job 38:4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? 2 Niambie, kama unafahamu. 1