Ayubu 38:16
“Je, umepata kufika kwenye chemchemi za bahari? 2 Au kutembea mahali pa ndani pa vilindi? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hast thou entered into the springs of the sea? or hast thou walked in the search of the depth?
In Context
15Waovu huzuiliwa nuru yao, 2 nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa. 1
17Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? 2 Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti? 1
Cross References
Job 41:32Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta; 2 mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi. 1
Proverbs 8:24Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, 2 wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji; 1